Pages

Subscribe:

Friday, 16 January 2015

AFCON 2015

      Kombe la Mataifa ya Afrika kuanza leo

  • Nani kunyakuwa ubingwa wa AFCON katika historia ya mashindano haya ya THELATHINI
  • Mataifa makubwa kama NIGERIA na MISRI hayapo kwenye michuano ya safari hii je ni ishara ya kuporomoka kwa soka la vigogo hivyo.
  • Cape Verde yapigiwa upatu .

1 comments:

Mwakijungu said...

Mpira ni mzuri sana na naitakia CONGO ushindi!
Ila mpira kadri siku zinaenda naona kama unapungua ule uhhondo wake!
Maana enzi za kina pelle,maradonna mpira!
Mpira ulikuwa una uzalendo saivi sioni zile amshamsha.
Pia mtangazaji hapo studio changamka basi hata kama unatatizo labda nyumbani!umepoa mno

Post a Comment