Nguli wa soka wa kimataifa
kutoka Brazil , Romario amedhihirisha ni tishio hata kwa kizazi cha sasa baada
ya kutoka na binti mdogo aliyempita miaka zaidi ya THELATHINI.
![]() |
Romario |
Inaonekana ROMARIO
amempnda mdada kutoka Marekani ambaye ni mwanamuziki Dixie Pratt baada ya
kutuma picha katika mitandao ya kijamii akiwa mapumzikoni katika visiwa vya
CARIBBEA.
![]() |
Dixie na Romario |
ROMARIO ana umri wa miaka
48 na alikutana na msichana huyo mwezi wa kumi mwaka jana.
0 comments:
Post a Comment