Cristiano
Ronaldo ‘dating’ Lucia Villalon baada ya kuachana na Irina Shayk
Cristiano Ronaldo imeelezwa kwamba
anamwania mtangazaji wa televisheni nchini HISPANIA kufuatia kuachana na
mchumba wake Irina Shayk.
Tetesi hizo zimetokana na Cristiano
Ronaldo na Lucia Villalon kupiga picha pamoja na LUCIA katika tuzo za BALLON DO
aliyoshinda huko ZURICH.
![]() |
Ronaldo na Lucia |
Pia tetesi za kuachana na IRINA ambao
walidumu kwa miaka mitano katika mahusiano yao zimetawala katika mitandao ya
kijamii.
![]() |
Lucia akitangaza |
IRINA
alikosekana katika sherehe hizo za ZURICH .
![]() |
Ronaldo na Irina |
0 comments:
Post a Comment