Pages

Subscribe:

Tuesday, 20 January 2015

ALGERIA yapata ushindi mnono


ALGERIA ikicheza mchezo wake wa kwanza dhidi ya AFRIKA KUSINI BAFANA BAFANA imechomoza na ushindi wa magoli 3-1.


Magoli ya ALGERIA yamefungwa na THULAN HLATSHWAYO, FAOUZI GHOULAM na ISLAM SLIMAN.
Group C
Team
Played
Goal Difference
Points
1
  2
3
Senegal
1
  1
3
1
 -1
0
South Africa
1
 -2
0

0 comments:

Post a Comment