Pages

Subscribe:

Tuesday, 20 January 2015

SENEGAL na ALGERIA zaanza vizuri AFCON


Group c
Senegal na Algeria zaanza vizuri afcon.

JAN 19, ESTADIO DE MONGOMO EQUTORIAL GUINEA

SENEGAL na ALGERIA zimeanza vizuri michezo yao ya awali ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika yanayoendelea EQUTORIAL GUINEA baada ya kuibuka na ushindi katika mchezo wa kundi C.

Mchezo wa awali ulikuwa ni kati ya GHANA na SENEGAL na katika mchezo huo SENEGAL ikiwa nyuma katika kipindi cha kwanza iliweza kusawazisha na kuongeza goli jingine hadi ilipofika dakika tisini.

Kocha wa Ghana Avrahm Grant


Kwa kiwango kikubwa mchezo huo ulitawaliwa na SENEGAL baada ya kukosa nafasi nyingi za kufunga.


Goli pekee la Senegal lilifungwa na ANDRE AYEW, huku magoli mawili ya SENEGAL yakifungwa na MAME BIRAM DIOF na la pili lilifungwa na MOUSSA SOW.

SENEGAL
Nickname: Lions of Teranga
FIFA Ranking: 35

GHANA
Nickname: Black Stars
FIFA Ranking: 37

0 comments:

Post a Comment