skip to main |
skip to sidebar
Beki wa Barcelona Pique na nyota wa pop Shakira wakitarajia kupata mtoto wa pili.
Wapenzi hao wanafanya kampeni ya kukusanya fedha kwaajili UNICEF ya World Baby Shower initiative, mpango wa kuwasaidia akina mama wajawazito ambao ni maskini.
0 comments:
Post a Comment