ELTON JOHN
Bado nimo..........
Anaingiza kiasi cha $500kkwa show huko Nevada
Wanamuziki MARIAH CAREY na JENNIFER LOPEZ wote wametajwa
pamoja na Britney Spears kwamba wanashindana katika upatikanaji wa fedha katika
show zao.
![]() |
Celine naye aliwahi kufanya vizuri katika show yake Nevada |
![]() |
Elton John |

Lakini inaelezwa kuwa diva SIR ELTON JOHN,ambaye mshahara
wake unafikiriwa kuwa zaidi ya $500k kwa kila afanyapo show yake NEVADA.
Pia inaelezwa kuwa eneo hilo jipya kwa ELTON tiketi
nyingi zinauzwa zaidi ya BRITNEY.
0 comments:
Post a Comment