Afcon 2015: Aubameyang 'Nataka kuwa tishio '
Mchezaji nyota wa timu ya
taifa ya GABON na klabu ya ujerumani ya BORRUSSIA DOTMUND , Pierre-Emerick Aubameyang
ametangaza kuwa matarajio yake ni kutaka kuwa mfalme wa soka barani Afrika.
![]() |
Pierre-Emerick Aubameyang |
Baada ya timu yake ya taifa ya BUKINAFASO
kupata ushindi wa kwanza huku goli la kwanza likifungwa na PIERRE mwenyewe
amesema ataendelea kucheza katika kiwango cha juu na hata kumfikia Didier
Drogba na Samuel Eto'o.
Group A
Team | Played | Goal Difference | Points | |
---|---|---|---|---|
Gabon | 1 | 2 | 3 | |
Equatorial Guinea | 1 | 0 | 1 | |
Congo | 1 | 0 | 1 | |
Burkina Faso | 1 | -2 | 0 |
0 comments:
Post a Comment