BEKI wa AC MILAN, Philippe
Mexes amefungiwa michezo minne baada ya kumpiga nahodha wa LAZIO , Stefano
Mauri wakati wa mchezo wa ligi kuu ya SEREA A.
MEXES ni mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa na
alitolewa kwa kadi nyekundu na hiyo kadi nyekundi ni ya 16 kupewa mchezaji huyo
tangu alipoanza kucheza soka.
Tukio kama hilo linafanana na lile
lililotokea hapa nchini siku chache zilizopita kwa mchezaji AMIS TABWE kupigwa
na beki wa RUVU SHOOTING.
0 comments:
Post a Comment