'Namtakia maisha yenye furaha' Cristiano Ronaldo athibitisha kuachana na Irina.
Cristiano Ronaldo hatimaye amethibitisha kwamba uhusiano na mpenzi wake IRINA uliodumu miaka mitano sasa umevunjika.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa URENO
amesema uamuzi huo ni kwa faida ya kwao wote .'Namtakia irina maisha yenye furaha'

0 comments:
Post a Comment